KITUNZI MASABO
Member
- Apr 28, 2013
- 7
- 0
Juz tar 28 mwez huu imezinduliwa taasisi maarufu sana ya kichina iitwayo Confucius Institute katika colege ya SSH Udom, na Mzee wenu Mkapa, masomo yatakayo fundishwa ni pamoja na Hu Shu, Karate, chinese language na chinese culture! Wakati hayo yanafanyika kuna baadhi ya faculty ambazo mpaka sasa kuna courses baadhi hazina wahadhili! , hili unalionaje mwana JF!