Tetesi UDOM!

Joined
Apr 28, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Juz tar 28 mwez huu imezinduliwa taasisi maarufu sana ya kichina iitwayo Confucius Institute katika colege ya SSH Udom, na Mzee wenu Mkapa, masomo yatakayo fundishwa ni pamoja na Hu Shu, Karate, chinese language na chinese culture! Wakati hayo yanafanyika kuna baadhi ya faculty ambazo mpaka sasa kuna courses baadhi hazina wahadhili! , hili unalionaje mwana JF!
 
Watafuta hzo mambo baada ya migomo kadhaa maana mmmh!
 
Ngoja nikachukue ka Bachelor ka Wu shu in Shaolin and side kicks.
 
Ngoja nikachukue ka Bachelor ka Wu shu in Shaolin and side kicks..
 
Tatizo ni kutokuwa na wahadhiri wa hizo course. Nakushauri kasome faster uje ukawe head wa department ambazo hazina wahadhiri (ajira si ndo hizo) unangojea ajira gani tena....where there is a chance Seize, grab, snatch, grasp, clutch, confiscate, impound, clasp, grapple, it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…