TETESI: Wahitimu wote wa Degree na Diploma kujiunga na JKT.

Kwa jinsi ilivyokaa system, itawahusu watu wote wanaosoma kozi zenye ajira ya moja kwa moja serikalini mfano education, afya n.k
Lakin pia ukiangalia kwa makini hiki kitakuja kuwa utaratibu kwa wahitimu wote wanaomaliza vyuo ambao hawajapitia haya mafunzo baada yakumaliza form six...
 
Nendeni JKT wote,
Vijana mmekuwa legelege mno, loooh.
 
Kwa kweli mimi pamoja kutofautiana na sera za huyu Sindbad wetu kwa hili la JKT amenikosha. Katika hili anahitaji kuungwa mkono na sote. Kilichobaki sasa ni kuurejesha ule utaratibu wa zamani ambapo JKT ilikuwa miaka 2; yaani miezi 3 Mafunzo ya awali, iliyobaki ni kufanya kazi kwa kujitolea; wewe utalipwa posho tu na mshahara unarudi serikalini kama shukrani kwa taifa lililokusomesha. Siyo siku hizi ambapo pamoja na kupewa mikopo kulipa ni kwa mbinde na mtu akishatajiwa kujitolea anasepa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

umegusia kustakiwa huko nyuma, dadafua kidogo
 

leo hii serikali inamsomesha nani hadi tufanye kazi bure??
 
Ewaa.. iko DREAMBOY kwa mujibu wa serikali wanasema, "Mtu yeyote atakayekwepa kwenda jkt atashitakiwa kwa mujibu wa sheria so hakuna namna yakukwepa ndugu yangu. Issue imekaa kisheria sana
 
Last edited by a moderator:
sheria gani ww nchi ya viongozi ambao hawana muelekeo wa kutatua matatizo ya watanzania bali kutengeneza hofu kwa kutumia dhana potofu mara ooooh wapinzani wakichukua nchi tutapigana vita mara vijana waende jkt halafu nchi ambazo vijana wake wanaenda jkt kwa mfano korea kusini hakuna ubaguzi ni lazima kwa vijana wote wenye umri wa miaka 18 kwenda jkt na sio wasomi tu !!mm nafikiri kwenda jkt ni kupoteza muda tu uzalendo hautakuwepo milele labda mafisadi waondoke madarakani na vibaraka wao!!
 

huu uoga kaka, JKT kna raha.
 
Kuajiriwa serikalini wapi?au uhamiaji?
 
Mimi hata wangesema ukienda huko unapata kazi za bure sitaendaaa period
 
Uzalendo gani unaongelewa hapa? Hao mafisadi mapapa si walipitia huko? Je wanao uzalendo? Akina Lukuvi, Wasira, Werema, JK, Lowasa, et al ni wazalendo? #absurd
 
Ewaa.. iko DREAMBOY kwa mujibu wa serikali wanasema, "Mtu yeyote atakayekwepa kwenda jkt atashitakiwa kwa mujibu wa sheria so hakuna namna yakukwepa ndugu yangu. Issue imekaa kisheria sana

Sheria ipi? Ya mwaka gani?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…