Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Wakuu, Msiombe Mwanafamilia kusimama aseme Ukweli na kukemea maovu yanayoendelea ndani ya familia
Unaambiwa utaitwa Kila jina, mchawi wewe, huna shukran wewe, msaliti wewee n.k !!
Ndiyo hayo anayopitia Mh na Dkt Bashiru !!
Dkt Bashiru kaamua kutumia sauti yake kufikisha ujumbe wa wanyonge .
Sasa Walamba Asali ,wanahaha, ndio wanahaha kwakua alopiga Bomu ni Mwanafamilia, ndio wanahaha kwakua walishakubaliana kutufanya Watanzania sisi ni mbumbumbu.!!
Wanalamba Asali, wanataka wampe Ubalozi Moja ya Nchi Nono 🤣!!