Vancomycin
Senior Member
- Jan 7, 2011
- 171
- 112
Kuna taarifa zimesikika kuwa wanafunzi wa UDOM wamepitisha mchango kwa ajili ya watu waliokumbwa na madhara yalioletwa na polisi waliotumia nguvu kubwa kuzuia maandamano ya CHADEMA kule Arusha mwenye habari zisizo na shaka naomba atujuze.