Tetesi:Wanafunzi UDOM wawachangia waliodhulika Arusha.

Vancomycin

Senior Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
171
Reaction score
112
Kuna taarifa zimesikika kuwa wanafunzi wa UDOM wamepitisha mchango kwa ajili ya watu waliokumbwa na madhara yalioletwa na polisi waliotumia nguvu kubwa kuzuia maandamano ya CHADEMA kule Arusha mwenye habari zisizo na shaka naomba atujuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…