Song il gok
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 878
- 938
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wadau wa Yanga nimewasikia mkuuWe umesikia wapi?
Unaharaka gani ya kuandika mambo usiyokua na uhakika nayo.Kuna wadau wa Yanga nimewasikia mkuu
Ndio maana nkaja hapa ili niyaelewe ndugu yanguUnaharaka gani ya kuandika mambo usiyokua na uhakika nayo.
Kwani washamaliza mchakato wa kumkodisha timu Manji?!!!View attachment 388647
Kuna tetesi kwamba mkutano mkubwa sana wa kukutanisha wawekezaji watakaowekeza katika yanga siku za karibuni. Kuna aliyesikia hiyo?!
Kusikia sio kuona.....View attachment 388647
Kuna tetesi kwamba mkutano mkubwa sana wa kukutanisha wawekezaji watakaowekeza katika yanga siku za karibuni. Kuna aliyesikia hiyo?!
Kusikia sio kuona.....
Na uone na kuhakikisha ndiyo utuambie.....[emoji12] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mchakato si walisema upo underway mkuu?Kwani washamaliza mchakato wa kumkodisha timu Manji?!!!
Ndo itakua hii picha mkuu???