Tetesi za Feisal kutua Azam zimeanza kubadili direction ya mihemko

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Sasa ni dhahiri ile mihemko na huruma za kinafiki juu ya Feisal imeanza kupata tune tofauti baada ya 'watoka watupu' kugundua kuwa hawana chao. Nashauri wote mliokuwa mnampigania kwa 'povu' muendelee kushabikia kijana kupata timu mpya
 
Subiri nikuitie Scars Kalpana
 
Kuna kiungo unakitumia kufikiri sitakitaja umeshakijua,Huyo dogo si toka mwanzo wa sakata ilijulikana ni Azam au ulikuwa shule sasa upo likizo!!!
 
Yaani dogo zile purukushani zote kumbe anataka kwenda Chamazi 😄
 
Mbona UNAANDIKA Pumba sana????

1.Ndio maana tumekubaliana hapa jukwaani kwamba Mashabiki wengi wa Yanga wanaandika Nyuzi za hovyo sana.

Tena Bila huruma wanajaza Seva za Jamii Forum. Kwa Upuuzi WANAO uandika.

2. Ni KIONGOZI Gani wa Simba ALIYESEMA FEISAL ANAKWENDA Simba???????
Au KIONGOZI Gani ALISEMA FEISAL amesaini MKATABA na Simba?????
FICHA UJINGA.

Simba mbona inawachezaji wazuri zaidi kwenye No 10.
Kuna chama, Saidoo, Sackho na phili.

3. Mashabiki WA Simba waliunga mkono mchezaji KUONDOKA yanga kwa sababu Hana Mapenzi na yanga, anadhurumiwa MSHAHARA mdogo nk

JARIBU KUTUMIA AKILI ACHA KUANDIKA KI BWEGE BWENGE KWA MIHEMUKO KAMA UMESHIKIWA BOMBA.
SH3NZI KABISA.
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Yaani dogo zile purukushani zote kumbe anataka kwenda Chamazi [emoji1]
Ndo kuna pesa kuliko kule utopoloni, aliko kimbiaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona UNAANDIKA Pumba sana????

1.Ndio maana tumekubaliana hapa jukwaani kwamba Mashabiki wengi wa Yanga wanaandika Nyuzi za hovyo sana.

Tena Bila huruma wanajaza Seva za Jamii Forum. Kwa Upuuzi WANAO uandika.

2. Ni KIONGOZI Gani wa Simba ALIYESEMA FEISAL ANAKWENDA Simba???????
Au KIONGOZI Gani ALISEMA FEISAL amesaini MKATABA na Simba?????
FICHA UJINGA.

Simba mbona inawachezaji wazuri zaidi kwenye No 10.
Kuna chama, Saidoo, Sackho na phili.

3. Mashabiki WA Simba waliunga mkono mchezaji KUONDOKA yanga kwa sababu Hana Mapenzi na yanga, anadhurumiwa MSHAHARA mdogo nk

JARIBU KUTUMIA AKILI ACHA KUANDIKA KI BWEGE BWENGE KWA MIHEMUKO KAMA UMESHIKIWA BOMBA.
SH3NZI KABISA.
Ona hii mbumbumbu,akili zenu mlijua fei atakuja bunju,usijifyatue akili,kiongoz wenu ahmed ndie mtu wa kwanza kuwaaminisha ujinga kwa kupost picha ya fei na chama Zanzibar kisha akaanza kutuma na mchango wa cas
 
Sasa ni dhahiri ile mihemko na huruma za kinafiki juu ya Feisal imeanza kupata tune tofauti baada ya 'watoka watupu' kugundua kuwa hawana chao. Nashauri wote mliokuwa mnampigania kwa 'povu' muendelee kushabikia kijana kupata timu mpya
Tunangojea majibu ya Bandari. Agenda kuu
 
Nilishalijibu hilo kuwa kikubwa...mmelouwaa...
Mmemwachia...
Sa itakuaje ile pesa mliyomchangia aende cas mkijua anakuja makolo atawarudishia au ndio kilichoenda kwa mganga akirudi 😂😂
 
Watu tuliekuwepo kwenye stystem tulijua tu kuwa azam yupo kazini so tulijua tu kabla mgogoro wa fei kuwa fei ni wa azam

Majirani kwani nyie hamkujua kuwa fei ni alifanyiwa kila kitu na azam

Mashabiki maandazi ndio hawakujuaga kinachoendelea so nafikiri kwa sisi wakubwa wa simba hatuna shaka juu ya hilo
 
Back
Top Bottom