Nilishalijibu hilo kuwa kikubwa...mmelouwaa...
Atakuwaje na fikra sahihi huku mwiko uko nyuma?Kuna kiungo unakitumia kufikiri sitakitaja umeshakijua,Huyo dogo si toka mwanzo wa sakata ilijulikana ni Azam au ulikuwa shule sasa upo likizo!!!
Mkuu kwani ilitakiwa aende wapi ili wewe uone kua kafanya sawa na ili ikupendeze wewe?Yaani dogo zile purukushani zote kumbe anataka kwenda Chamazi 😄
Mkuu kwani ilitakiwa aende wapi ili wewe uone kua kafanya sawa na ili ikupendeze wewe?
Ndo kuna pesa kuliko kule utopoloni, aliko kimbiaaYaani dogo zile purukushani zote kumbe anataka kwenda Chamazi [emoji1]
Ona hii mbumbumbu,akili zenu mlijua fei atakuja bunju,usijifyatue akili,kiongoz wenu ahmed ndie mtu wa kwanza kuwaaminisha ujinga kwa kupost picha ya fei na chama Zanzibar kisha akaanza kutuma na mchango wa casMbona UNAANDIKA Pumba sana????
1.Ndio maana tumekubaliana hapa jukwaani kwamba Mashabiki wengi wa Yanga wanaandika Nyuzi za hovyo sana.
Tena Bila huruma wanajaza Seva za Jamii Forum. Kwa Upuuzi WANAO uandika.
2. Ni KIONGOZI Gani wa Simba ALIYESEMA FEISAL ANAKWENDA Simba???????
Au KIONGOZI Gani ALISEMA FEISAL amesaini MKATABA na Simba?????
FICHA UJINGA.
Simba mbona inawachezaji wazuri zaidi kwenye No 10.
Kuna chama, Saidoo, Sackho na phili.
3. Mashabiki WA Simba waliunga mkono mchezaji KUONDOKA yanga kwa sababu Hana Mapenzi na yanga, anadhurumiwa MSHAHARA mdogo nk
JARIBU KUTUMIA AKILI ACHA KUANDIKA KI BWEGE BWENGE KWA MIHEMUKO KAMA UMESHIKIWA BOMBA.
SH3NZI KABISA.
Tunangojea majibu ya Bandari. Agenda kuuSasa ni dhahiri ile mihemko na huruma za kinafiki juu ya Feisal imeanza kupata tune tofauti baada ya 'watoka watupu' kugundua kuwa hawana chao. Nashauri wote mliokuwa mnampigania kwa 'povu' muendelee kushabikia kijana kupata timu mpya
ubwabwa nomaNilishalijibu hilo kuwa kikubwa...mmelouwaa...
Mmemwachia...
Sa itakuaje ile pesa mliyomchangia aende cas mkijua anakuja makolo atawarudishia au ndio kilichoenda kwa mganga akirudi 😂😂Nilishalijibu hilo kuwa kikubwa...mmelouwaa...
Mmemwachia...