Tetesi za Miquissone kurudi bongo ni za kitoto

Tetesi za Miquissone kurudi bongo ni za kitoto

Joined
Oct 19, 2022
Posts
62
Reaction score
59
Katika kipindi iki cha usajili kumekuwa na tetesi nyingi za Wachezaji kuhusishwa na hawa kulwa na doto ila la kustusha zaidi ni uyu miquissone kuhusishwa na hawa jamaa ukifuatilia tunavyosikia gharama anazolipwa uyu jamaa unaona kabisa hawezi kuja hapa TZ.

Mimi mwanayanga lialia lakini katika hili jambo naona tunaoteshwa mchana tukiwa tupo macho labda izo pesa anazolipwa huko alipo isiwe kama tunavyosikia kwa hali hiyo huenda akarudi TZ.
 
Mashabiki wa mpira wanatolewa kwenye ishue ya Feitoto. Watu wapo kazini
 
Mashabiki wa mpira wanatolewa kwenye ishue ya Feitoto. Watu wapo kazini
Kwani feitoto ana ishue gani na yanga?maana ni mchezaji halali na ni muwajiliwa wa yanga isipokuwa mashabiki wa makolo na wachambuzi wao ndio wanaolalamikia kuhusu iyo ishue unayosema ya feitoto
 
Manara alishamaliza kila kitu kwamba kule utopoloni wenye akili ni wawili tu .Yaani Baba yake Mzee Sunday Manara na JK.
Hivyo haya tunayoyajadili ni upotezaji wa muda.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC unaendelea kuteseka na Mabingwa wapya wa NBC PL 2022/2023 ukiwa hapo kwa Shemeji yako [emoji1][emoji2960]
 
Walisema washamalizana na chama
Wakasema washamalizana na miquisoni
Hao ni wazee wa kwenda na beat tu ila hawana UBAVU huo wasingemlipa feisal million 4 miaka yote hiyo.
 
Kwa uongozi wa Yanga Ujinga ndio mtaji.

Hansi Raphael.

Huyu dogo ni MJINGA sana.
Anatumika vibaya sana.

Jimy kindoki anatumika hovyo.
 
Kwani feitoto ana ishue gani na yanga?maana ni mchezaji halali na ni muwajiliwa wa yanga isipokuwa mashabiki wa makolo na wachambuzi wao ndio wanaolalamikia kuhusu iyo ishue unayosema ya feitoto
Una maana mashabiki wa Simba ndiyo wamempa Feisal ile mifedha aliyowalipa gongowazi kununua mkataba wake?
 
Back
Top Bottom