SAIDI MWINYIMVUA
Member
- Oct 19, 2022
- 62
- 59
Kama ma mbumbumbu fc ambavyo hayajui bil 20 zilipo.Wanashindwa kulimaliza la Chamazi wanarukia la Misri[emoji23]
Ujinga wa washabiki wa utopolo ndio mtaji mkubwa wa viongozi wao
Kwani feitoto ana ishue gani na yanga?maana ni mchezaji halali na ni muwajiliwa wa yanga isipokuwa mashabiki wa makolo na wachambuzi wao ndio wanaolalamikia kuhusu iyo ishue unayosema ya feitotoMashabiki wa mpira wanatolewa kwenye ishue ya Feitoto. Watu wapo kazini
Kweli makolo aliewaita mbumbumbu wala hajakoseaWanashindwa kulimaliza la Chamazi wanarukia la Misri[emoji23]
Ujinga wa washabiki wa utopolo ndio mtaji mkubwa wa viongozi wao
Hapa ndo nilipokuelewa, mnajua kujificha kwenye bichaka vya futi moja๐๐๐๐Mimi mwanayanga lialia lakini katika hili jambo naona tunaoteshwa mchana
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC unaendelea kuteseka na Mabingwa wapya wa NBC PL 2022/2023 ukiwa hapo kwa Shemeji yako [emoji1][emoji2960]Manara alishamaliza kila kitu kwamba kule utopoloni wenye akili ni wawili tu .Yaani Baba yake Mzee Sunday Manara na JK.
Hivyo haya tunayoyajadili ni upotezaji wa muda.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Una maana mashabiki wa Simba ndiyo wamempa Feisal ile mifedha aliyowalipa gongowazi kununua mkataba wake?Kwani feitoto ana ishue gani na yanga?maana ni mchezaji halali na ni muwajiliwa wa yanga isipokuwa mashabiki wa makolo na wachambuzi wao ndio wanaolalamikia kuhusu iyo ishue unayosema ya feitoto
Yaani haya mateso wanayoyapata makolo ni makali sanaUna maana mashabiki wa Simba ndiyo wamempa Feisal ile mifedha aliyowalipa gongowazi kununua mkataba wake?