Tetesi za penzi jipya la Irene Uwoya na Dogo Janja zawa gumzo mtandaoni

Tetesi za penzi jipya la Irene Uwoya na Dogo Janja zawa gumzo mtandaoni

naona ameamua kujaribu huba la dogo dogo...maana ndoa na ndikumana ilimshinda
 
akiingia ni "pwakchaaa""....dumbwii" [emoji85] [emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji85]
Binadamu akishabaleghe,viungo vya uzazi vinakuwa tayari kumuhudumia binadamu yeyeto yule,na ndo maana utaona kibinti cha miaka 18 kinaolewa na mzee wa miaka 55 na shughuli inafanyika bila tatizo kwa sababu kipindi cha baleghe viungo vya uzazi vinatanuka na kukua kwa kasi,usishangae dogo janja akawa na dushe kubwa kuliko mwanaume mwenye miaka 60,hahahaha.Hivi diamond na zari wamepishana miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom