Tetesi za penzi jipya la Irene Uwoya na Dogo Janja zawa gumzo mtandaoni

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Kufuatia tetesi hizo vyombo mbalimbali vya habari na mashabiki wao wameibuka na kuhoji bongo muvi kunani? Maana ni juzi tu Wolper kaibuka na kiben teni leo hii ni Uwoya


Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona ameamua kujaribu huba la dogo dogo...maana ndoa na ndikumana ilimshinda
 
akiingia ni "pwakchaaa""....dumbwii" [emoji85] [emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji85]
Binadamu akishabaleghe,viungo vya uzazi vinakuwa tayari kumuhudumia binadamu yeyeto yule,na ndo maana utaona kibinti cha miaka 18 kinaolewa na mzee wa miaka 55 na shughuli inafanyika bila tatizo kwa sababu kipindi cha baleghe viungo vya uzazi vinatanuka na kukua kwa kasi,usishangae dogo janja akawa na dushe kubwa kuliko mwanaume mwenye miaka 60,hahahaha.Hivi diamond na zari wamepishana miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…