Tetesi za soka Ulaya: Kocha wa Barcelona, Ronald Koeman asema ana imani lakini hana uhakika kama Messi atasalia kwenye klabu hiyo msimu huu

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Kocha wa Barcelona Ronald Koeman amesema kuwa "ana imani lakini hana uhakika" kama mshambuliaji wa Argentina, 33, Lionel Messi atasalia kwenye klabu hiyo msimu huu. (Athletic - subscription required)

Mkataba wa Messi wa pauni milioni 492 na Barcelona ambao unakamilika mwisho wa msimu, unajumuisha kipengee ambacho kinamruhusu kuondoka bila masharti yoyote ikiwa Catalonia itapata uhuru wake. (El Mundo, via Mail)

Mshambuliaji wa Brazil Neymar, 28, atasaini mkataba mpya wa miaka minne na mabingwa wa Ufaransa Paris St-Germain. (Goal)
 
Sawa asante kwa tetesi
 
Tunangoja sijui Messi ataangukia wapi
 
Kama sio Man city basi psg. Na uzuri hakuna timu isiyomuhitaji, wote wanamuhitajia sema uwezo wa kumhudumia hawana,,labuda Man city kidogo
 
Sisi kama man city tunasema huyu mwamba atatufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…