RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Gurdiolar Hana maajabu!!fundi slot anampoteza tena!amefanya reshuffle ya bench la ufundi na kumchukua pep lijnders msaidizi wa Liverpool zamani!nadhani hiyo ni baada ya kuona hakua na mbinu za kumfunga slot msimu uliopita!!City anabeba
Labda mimba WE ARE LIVERPOOLCity anabeba
Sawa tutaona! Mlikua na msimu wa bahati tuLabda mimba WE ARE LIVERPOOL
Labda mimba WE ARE LIVERPOOL
City Is coming back
Pep kaishiwa mbinu,ndio maana kachukua msaidizi wa klopp Pepin lijnders mdachi amsaidie!!Since game dhidi ya Wydad tayari nishaona Man city unga. #YNWA