Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Baleke amesain Yanga miaka 2
Karibu team ya wananchi Baleke
 
Daaah mambo ni mengi sana
 
Yuko nchi gani huko Ulaya?, pia kapelekwa kwa mkopo na Simba au Coastal?
Kapelekwa na coastal ubelgiji, Simba wamerudishiwa hela yao. Tamaa ya coastal ya milioni 287 tu
Atanisahihisha Hichilema kama nimeenda chaka.
 
Yuko nchi gani huko Ulaya?, pia kapelekwa kwa mkopo na Simba au Coastal?
Bado hapa Kuna vichekesho. Mchezaji hadi sasa yuko Ulaya ya Tanga. Wenye naye wanasema wanamtafutia Passport aende Gent ya Ubelgiji. Ofa ya Gent ni dollar laki moja na kipengele Cha asilimia kadhaa wakimuuza. Ngoja tuone kama ataripoti mazoezini Kwa Coastal Union. Hata Jangwani panaweza kuwa ndo Ulaya
 
Reactions: K11
Mkuu huyo mchezaji ashanitoka, kama uko "jikoni" waambie wadau waachane nae. Kwanza naona hii vita japo tumeiweza kwa wachezaji wengine wazur ila naona wemgine kama.hawa maadui zetu ikiwemo yanga wanaongea na vilabu wasitupe wachezaji tunaowataka au wanakwamisha ..nikitaka nijue meneja au anaemsimamia Lawi ni nani
 
Bonge moja la striker, mtoto wa Morogoro huyo, amekiwasha sana black viper team ya mtaani kwangu. Anaitwa Valentino Mashaka kusengama kama sikosei.
Bro unamjua huyu mwamba?
Embu shusha vitu vyake kidogo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…