Tetesi za Usajili Man Utd

Shekuna

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
688
Reaction score
549
Mashetani Wekundu Wanaongoza Katika Mbio Za Kuwanasa Nyota Hawa

RAHIM STERLING
MEMPHIS DEPAY
MAT HUMMELS
ROBERT FIRMINO
IKER GUNDOGAN
DANIEL ALVES
Souce😀AILY MAIL

Kati Ya Hao Yupi Unaona Anafaa kuvaa uzi wa mashetani msimu ujao!!
Na je!mchezaj yupi hafai kuwamo katika kikosi msimu ujao?!?
 
Toa Alves. Wote waliobaki wanafaa. Alves anakua mzee sasa kisoka
 
Anayemkataa alves hajui majukumu ya beki za pemben, Na nguvu Na kasi yake inaonesha kuna kama misimu miwil ya kukimbiza, bt hyo stering hatumuhitaj hana nafac kwetu, maana hata januzaj akienda liverpool benchi litakuwa linamuita hyo stering
 
2namuhtaj sana old trafford
 
AISE WANA UTD,ME HAPO NAMKUBALI SANA winger#wizard
MEMPHIS DEPAY
anajua kucheza hyu mtu,,yan mpaka sana anaongoza kwa ufungaj lg ya uholanz<EREVIDISIE>goal 19 kwa mech 26 tu
 
Winger#wizard
MEMPHIS DEPAY n mchezaj wa kipekee katka dunia hii
 
Yaani mtu anakuja na kufungua uzi kuwa Man utd wanamtaka Raheem Sterling, na anajiita shabiki wa kweli wa Man Utd!!!
 
Yaani mtu anakuja na kufungua uzi kuwa Man utd wanamtaka Raheem Sterling, na anajiita shabiki wa kweli wa Man Utd!!!

Yan kanishangaza sana aisee! Halaf huo uchambuz wake Kwa wachezaj hajui kabisa yan
 
Yaani mtu anakuja na kufungua uzi kuwa Man utd wanamtaka Raheem Sterling, na anajiita shabiki wa kweli wa Man Utd!!!

wew huna data kaa kimya tuache wazee wa digital tukupe data m****e ww
 
Yan kanishangaza sana aisee! Halaf huo uchambuz wake Kwa wachezaj hajui kabisa yan

wewe huwez kubishana kitu chochote na mim kuhusu soka
am at another level **** we
 
wewe huwez kubishana kitu chochote na mim kuhusu soka
am at another level **** we

Hyo level ya kumkataa dani alves Na kumtaka rahim stering anayeweza wekwa benchi Na januzaj kiukwel hata mm ckufikii, Na nikutoe tongo tongo co kwamba anatakiwa Na man u ila waandishi wanazungumzia2 Na wanajarib kumcopare Na pogba Na kusema kuwa angekuwepo man u yangemkuta ya pogba, iwe enzi hii ya van gaal au ferguson
 
wewe huwez kubishana kitu chochote na mim kuhusu soka
am at another level **** we

Duuuh! Kwel kuna wa2 wana upunguf wa akil aisee, Kwa hyo mpka utukane co, kwel hamna ki2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…