bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Yes halina shaka hili, ukitaka kuprove hili angalia tetesi za sajili zinazoendelea kwa sasa. Ushajiuliza kwanini hakuna timu hata moja japo imetania tu kutaka mchezaji wa Simba; ziwe na ndani au nje ya Tanzania? Baki na jibu lako.
Hivi sasa Yanga ndio habari ya mjini,hakuna timu yoyote dunia ambayo haivutiwi na wachezaji wa Yanga kwa sasa. Hakuna timu haitamani kuwa na mchezaji kama Mayele kwa sasa, hata Arsenal ukiwauliza watakwambia yes tunamtaka.
Feisal keshaenda, Pro Nabi naye keshaenda, Bangala tetesi, Djuma Shabani tetesi, Lomalisa naye tetesi, Mwamnyeto tetesi Mpaka Timu nyingine zinamtaka Eng Hersi.
Endelea kujiuliza kwanini sio wachezaji wa Simba au Azam au Fountain gate au Namungo bali ni Yanga tu.