Tetesi za Usajili ni ishara Yanga ni Timu Bora kwa sasa Afrika

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes halina shaka hili, ukitaka kuprove hili angalia tetesi za sajili zinazoendelea kwa sasa. Ushajiuliza kwanini hakuna timu hata moja japo imetania tu kutaka mchezaji wa Simba; ziwe na ndani au nje ya Tanzania? Baki na jibu lako.

Hivi sasa Yanga ndio habari ya mjini,hakuna timu yoyote dunia ambayo haivutiwi na wachezaji wa Yanga kwa sasa. Hakuna timu haitamani kuwa na mchezaji kama Mayele kwa sasa, hata Arsenal ukiwauliza watakwambia yes tunamtaka.

Feisal keshaenda, Pro Nabi naye keshaenda, Bangala tetesi, Djuma Shabani tetesi, Lomalisa naye tetesi, Mwamnyeto tetesi Mpaka Timu nyingine zinamtaka Eng Hersi.

Endelea kujiuliza kwanini sio wachezaji wa Simba au Azam au Fountain gate au Namungo bali ni Yanga tu.
 
Feitoto,Nabi,lomalisa,Bangla,mayele ,thank you
Kocha WA makipa na viungo,thank you.
Tuisila kisinda,thank you.
 
AMAZULU ya S,Africa mbona ishatuma offer kwa SAIDO'O na Clauts Chama Jamani Duh au nyie mko Dunia Ipiiiiiii
 
Hiyo ni ishara kwamba yanga ni timu ndogo. Ni kawaida Kwa timu ndogo kuondokewa na wachezaji Kwa mkupuo.
 
Hiyo ni ishara kwamba yanga ni timu ndogo. Ni kawaida Kwa timu ndogo kuondokewa na wachezaji Kwa mkupuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…