Kaka, tetesi hizo ni sahihi kabisa na ni wakati muafaka wa utekelezaji. Na kama Mzalendo akipigwa Chini Basi Wamfanyie na scanning ya mali zake zote yakiwemo yake ma'bus ule uwanja wa football na kila anachomiliki..Haiwezekani hawa watu wawe na nguvu kubwa hivyo ya kiuchumi mpaka wataka kuununua "ukuu".. By The Way akidondoshwa huyu na chama kinadondoka..Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!View attachment 3275887
Ila tusiwaamini sana watu.. Huwezi jua nini wanakipanga maana wameingiwa na woga mkubwa kuhusu uchaguziKaka, tetesi hizo ni sahihi kabisa na ni wakati muafaka wa utekelezaji. Na kama Mzalendo akipigwa Chini Basi Wamfanyie na scanning ya mali zake zote yakiwemo yake ma'bus ule uwanja wa football na kila anachomiliki..Haiwezekani hawa watu wawe na nguvu kubwa hivyo ya kiuchumi mpaka wataka kuununua "ukuu".. By The Way akidondoshwa huyu na chama kinadondoka..
Mzalendo uchwaraHuyu ndiye yule mwenye bureau de change hadi vijijini?.
Huyu hapa kachezewa bonge la faulo, maana he might be safe ila ndio hivyo siasa zetu ni za kuwahiana.
Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!View attachment 3275887
Kaka, tetesi hizo ni sahihi kabisa na ni wakati muafaka wa utekelezaji. Na kama Mzalendo akipigwa Chini Basi Wamfanyie na scanning ya mali zake zote yakiwemo yake ma'bus ule uwanja wa football na kila anachomiliki..Haiwezekani hawa watu wawe na nguvu kubwa hivyo ya kiuchumi mpaka wataka kuununua "ukuu".. By The Way akidondoshwa huyu na chama kinadondoka..
Nyumbu hili naloo, kwahiyo watu wasiendelee na mishe zao kisa Kuna mapunguani huko wananyinyita nyinyita. Kauli mbinu gn ya kuhangaisha watu, watu wametulia wanawaona hamnazo tu. Wanasubiri mwezi oktoba wacheke.Khahahahaha,hii inaitwa kwake mwalimu Kashasha.
Wakae wakijua,hakuna tukio lolote litakalozina kauli mbiu ya CHADEMA.
Kiufupi Acha waraluane tu,maana ccm chama cha Wajinga waliojimirikisha utawala.
Uchaguzi utakuwa mchungu tem hii.
Wamerudisha mpira kwa kipa MITUNGI.
Wasiwe na bahati,ccm ikatoka madarakani,kila siku itakuwa Breaking News.
Inasemekana aliwekeza nguvu nyingi kwenye kuweka saini kwenye notiKaka, tetesi hizo ni sahihi kabisa na ni wakati muafaka wa utekelezaji. Na kama Mzalendo akipigwa Chini Basi Wamfanyie na scanning ya mali zake zote yakiwemo yake ma'bus ule uwanja wa football na kila anachomiliki..Haiwezekani hawa watu wawe na nguvu kubwa hivyo ya kiuchumi mpaka wataka kuununua "ukuu".. By The Way akidondoshwa huyu na chama kinadondoka..
We ndo kiazi cha Gairo.Nyumbu hili naloo, kwahiyo watu wasiendelee na mishe zao kisa Kuna mapunguani huko wananyinyita nyinyita. Kauli mbinu gn ya kuhangaisha watu, watu wametulia wanawaona hamnazo tu. Wanasubiri mwezi oktoba wacheke.