Huyo unaemtaja nae ni Trilionea……Mama aliambiwa mwanzo ila kwa sasa naona kashaamini yetu macho
Mkuu unaelewa maana ya kubeba mabakuli mawili, kubwa na dogo kuelekea kinyenyekevu kwenye dirisha la kuomba?Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!View attachment 3275887
Sasa noti zetu itakuwaje? Nasikia jamaa limesinya(in Hutu's voice)Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!View attachment 3275887
Ha ha ha haaaaa! Duh ila watu eti stone tangawizi!Stone tangawizi prezidaaa
Wakatoliki 2030 watakubali ??!Hakuna kati yao atakaeupata.
Simba mwenda pole ndio mlq nyama.Kijana Riz mtashangaa atakapoibukia
Kwa sasa mzee wake kamwambia hutakiwi kuwa na skendo yoyote. Keep low profile until then ……
2030 this is the next President save hii comment .
Katiba haisemi Hivyo. Kama mnadhan JK anapambana Samia abaki hadi 2030 kwa bure bure tu subirini muone.Wakatoliki 2030 watakubali ??!
Ngoja tuone Locuta Causa Finita ya Bongo kama itafua dafu kwa CCT !
Hiyo hata mimi nilishaistukia hasa baada ya kuona Riz ameanza kukeep low profile nikajua hii ni mbinu ya Jk !Katiba haisemi Hivyo. Kama mnadhan JK anapambana Samia abaki hadi 2030 kwa bure bure tu subirini muone.
Katoliki hawana ishu kwa sasa
Mkuu Mshana, sidhani hili linawezekana. Huyu mtu anajua mengi sana kuhusu mkuu wake, hivyo mkuu wake sio rahisi kuwa na ujasiri huo wa kumtupa chini, kwa sababu lilisha kuwa suala la kwa kuwa umeona yangu na wewe nionyeshe yako ili usiwaambie watu uliiona yangu!Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua..
Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje yote 32📌🔨
Anyway yaliyomo yamo....!
Katiba haisemi Hivyo. Kama mnadhan JK anapambana Samia abaki hadi 2030 kwa bure bure tu subirini muone.
Katoliki hawana ishu kwa sasa
Wape vidonge vyao, Hawa ni watu wajinga sana, hiki chama ni kimejaa wezi na mafisadi wa Mali za umma. Walaaniwe Hawa!Hahaaahaa
Mkuu kamba hukatikia pembamba...wakati ukitimia hata shoka moja tu linaangusha mbuyuMkuu Mshana, sidhani hili linawezekana. Huyu mtu anajua mengi sana kuhusu mkuu wake, hivyo mkuu wake sio rahisi kuwa na ujasiri huo wa kumtupa chini, kwa sababu lilisha kuwa suala la kwa kuwa umeona yangu na wewe nionyeshe yako ili usiwaambie watu uliiona yangu!
Hakuna wa kumfunga Paka kengeleMadilu System ni fisadi sana ,amejilimbikizia mali sana ,ile mahakama ya mafisadi ianze naye.
Hujiulizi kwa nini Nchimbi ni mgombea Mwenza? Amka usingizini,Katiba haisemi Hivyo. Kama mnadhan JK anapambana Samia abaki hadi 2030 kwa bure bure tu subirini muone.
Katoliki hawana ishu kwa sasa
Hakuna kati yao atakaeupata.
Simba mwenda pole ndio mlq nyama.Kijana Riz mtashangaa atakapoibukia
Kwa sasa mzee wake kamwambia hutakiwi kuwa na skendo yoyote. Keep low profile until then ……
2030 this is the next President save hii comment .
Hapo ndipo kuna Shida maana ni ukoo wa panya wote wezi.,Hakuna wa kumfunga Paka kengele