Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia BoT wanataka kuanzisha noti nyingine, tena ni noti ya shilingi elfu hamsini? Kama ni kweli hii ni dalili ya nini kwenye uchumi na dhamani ya sarafu yetu?? Msaada wajameni
RED: Elimu kidooogo plz!!Nilipo bold sidhani kama ni kweli kwani mpaka sasa vielelezo kadhaa vya uchumi bado havionyeshi hitaji la noti ya sh. 50,000/=
Nawashauri BoT waendelee na mpango wao wa kuhakikisha Tanzania inaondokana na cash economy !! Mpaka leo Tanzania mtu anaweza kwenda showroom na kununua gari na cash taslimu Tsh. 150 million bila kuulizwa chochote.
RED: Elimu kidooogo plz!!