Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Dhamira ya Rais kwa vijana wake anaowateua ni nzuri sana - kwamba wamsaidie kazi na majukumu yao ktk maeneo yao.
Tatizo la kutenguliwa kwa vijana wengi kumetokana na sababu kuu moja "huteuliwa kwa mchongo". Wasaidizi wa Rais ktk idara hiyo hawafanyi vetting yakutosha. Huenda huangalia zaidi anayeteuliwa anatoka ktk familia ipi, ana uwezo gani kifedha, amechawika kwa kiwango gani nk nk.
Rai yangu:
Wasaidizi wa Rais jitahidini kumsaidia kiongozi wetu ili wanaopendekezwa wawe na sifa kedekede. Lkn pia mlioteuliwa hebu ficheni aibu yenu kwa kumwogopa Mungu.
Ngaika Ndenda
(Kakonko)