MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Ndio ukweli huo.
Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani ale jasho la ujana wake.
Rais Samia amekua mlalamikaji sana hivi karibuni kuhusu utendaji wa watu walio chini yake. Napenda nimkumbushe kuwa teuzi za kulipana fadhila ndio matokeo hayo. Wakati mwingine mtu anapewa uteuzi ili akafichwe huko mbali. Sasa kama mlilenga kumficha lengo si limetimia? Unakujaje kutuambia tena hafanyi kazi,😄😄
Hizi teuzi za fadhila hazina faida kwa taifa. Ni kutekeleza ule usemi tule wote tu. Siku mkishindwana msije majukwaani kutulalamikia maana sisi wananchi hizo teuzi hazina manufaa kwetu.