Teuzi zinaendelea, Wastaafu wanaendelea kulamba asali huku wahitimu wakiendelea kulia mabarabarani

Teuzi zinaendelea, Wastaafu wanaendelea kulamba asali huku wahitimu wakiendelea kulia mabarabarani

Bulelaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
1,342
Reaction score
3,247
20250116_102940.jpg
 
Kwa elimu zao ni sawa tu kuendelea kuteuliwa.maana PhD zao walizipata kwenye vyuo vinavyotambua maana ya elimu na siyo vyuo vya jalalani
 
Kwa elimu zao ni sawa tu kuendelea kuteuliwa.maana PhD zao walizipata kwenye vyuo vinavyotambua maana ya elimu na siyo vyuo vya jalalani
Aisee kwa kweli wengine tuna madegree ya mavyuo vikubwa nchini still holaaa!!
 
Naishi kwenye kauli ya boss wangu aliniambia siku moja

UKIPENDA SANA VYEO UTAKUWA MCHAWI ACHA VIJE VYENYEWE
 
Hao ni wataalam na sifa moja wapo ambayo imewabeba ni uzoefu kazini ,vijana wanatakiwa wasipande moja kwa moja katika nafasi za juu bali waende hatua kwa hatua vijana kwa walio wengi wakipewa nafasi za juu moja kwa moja wanazingua badala ya kujenga wanabomoa .
 
mkuu ulituka wahitimuwa wa sasa wa vyuo wapewe vyeo direct ama?
 
Back
Top Bottom