Text to speech apps

Download app inaitwa Voice. Ni nzuri sana. Huu ni mwaka wa tatu na bado naitumia!!!
 
Unafikiri yeye ameshindwa kuja PM yako kukueleza yote haya
Hili ni jukwaa ambalo pia ni kama darasa sasa kila mwanafunzi kila mwanafunzi akimtembelea mwalimu chumbani kwake itakuaje... tupia link hapa hapa
 
Nitaweka hapa hapa nje
 
Linck iweke hapa
 
Kuna mfano wa audio ambayo ni kipande cha uzi wa mwana JF nilikuwa najaribu kuweka, sijui kinacheza kwenu? Hata kama hakichezi haina shida.

OK, copy hii MS Speech Bot kisha paste kwenye telegram.

Uta-paste hii link kwenye telegram yako
Chagua lugha unayotaka kuconvert
Chagua msomaji kama ni wa kike au kiume
Chagua vile vidoti vitatu huku huku Chini ili ikupeleke kwenye docs unayotaka kuconvert
Baada ya kuchagua subiri imalize kazi kisha save audio yako.
Mambo mengine utajiongeza
Your browser is not able to play this audio.
 
Nimeenda kote, nafail kwenye option ya kuupload file la kuconvert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…