Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
TFF imehairisha mechi ya Simba na Biashara iliyopangwa kuchezwa tarehe 27 September,pamoja na mechi ya Yanga na JKT Tanzania.Kutokana na klabu ya Simba kuandika barua kuomba mechi yao na Biashara kufutwa ili wapate muda wakujiandaa na mechi ya watani wa jadi September 30.
TFF wamewakubalia bila ya ajizi.Timu zina wachezaji 26 wanashindwaje kuwa na vikosi viwili?Yanga msikubali kuchezewa ,lazima Simba wacheze na Biashara.Kwa kuwasaidi Simba mnaweza kuchezesha kikosi hiki1.Dida2.Gyan3.Kwasi4.Mlipili5.Murshid6.Kotei7.Haruna8.Ndemla9.Salamba10Mohamed Rashid11.Kaheza..
Mechi ya Simba na Yanga hakuna utofauti na mechi nyingine ,timu zinapigania pointi 3...shame on you TFF