TFF acheni kuwabeba Simba

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,359
Reaction score
5,837
TFF imehairisha mechi ya Simba na Biashara iliyopangwa kuchezwa tarehe 27 September,pamoja na mechi ya Yanga na JKT Tanzania.Kutokana na klabu ya Simba kuandika barua kuomba mechi yao na Biashara kufutwa ili wapate muda wakujiandaa na mechi ya watani wa jadi September 30.
TFF wamewakubalia bila ya ajizi.Timu zina wachezaji 26 wanashindwaje kuwa na vikosi viwili?Yanga msikubali kuchezewa ,lazima Simba wacheze na Biashara.Kwa kuwasaidi Simba mnaweza kuchezesha kikosi hiki1.Dida2.Gyan3.Kwasi4.Mlipili5.Murshid6.Kotei7.Haruna8.Ndemla9.Salamba10Mohamed Rashid11.Kaheza..
Mechi ya Simba na Yanga hakuna utofauti na mechi nyingine ,timu zinapigania pointi 3...shame on you TFF
 
Wewe kinachokuuma hapo ni nini? Kwani ndio leo unasikia habari ya kuahirishwa mechi?
 
Yani sijui tifua tifua hii ya karia sijui ni ushabiki au ni akili zao daaah

Manina sana
 
Hats mechi za ligi nazo kunakuahirisha ili ziandae! Naishauri Yanga nayo iandike barua kutaka kushirisha mechi yao na Simba ili wajiandae kwa mechi inayofuata.
 

Tulize mshono mbona CCM inabebwa na NEC na maisha yanasonga? Hii ndiyo bongo.
 
Wewe kinachokuuma hapo ni nini? Kwani ndio leo unasikia habari ya kuahirishwa mechi?
mkuu so timu ndg nazo zikiomba kuahirisha mechi zao ili wajiandae na mechi kubwa hii ligi itakuwaje? TFF inazidekeza sana simba na yanga ndio maana hata mpira wetu unasuasua................
 
Huu ni ukweli mchungu, kiukweli TFF wana madudu mengi sana, ulaya hii kitu kawaida sana mtu anacheza jtano then jpili anacheza tena,
Msimu uliopita tuliona Simba alipewa mweZi mzima kujiandaa na bado alishindwa kushinda....
Cc Hajar
Waache wajiandae lakini time hii kipigo kipo pale pale na watapata tabu sana
 
Ulishalitafakari la timu moja kucheza mechi 11,bila kutoka nje ya mkoa?
 
Kwani aliyewaruhusu chura FC kucheza mechi zaidi ya kumi za mwanzo nyumbani ni yule mtumiaji wa madawa ya kulevya aliyekua diwani wa nanii auuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…