TFF bado 'madudu' wanayaendeleza

TFF bado 'madudu' wanayaendeleza

qaxemvule

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
231
Reaction score
120
Kwa nini michezo ya Simba SC vs Azam FC na Yanga SC vs Njombe Mji isichezeshwe siku moja? Wakati kila timu zinacheza mkoa tofauti na viwanja tofauti?

TFF wanapanga matokeo mapema, hata raundi ya pili bado

Simba SC vs Azam FC - 9th
Yanga SC vs Njombe Mji - 10th
 
Sipati picha pale ambapo yanga wakitoa tena sare na Njombe mji.
 
Ni bomu tu hata iweje ..we angalia tayari ngao ya jamii ishakosewa, protocal za ukaaji wageni na wenyeji juzi taifa wamekosea. Botswana walikaa iliko bendera ya Tz na Tz wakakaa iliko bendera ya Botswana, yaani ni full vituko Tff. Na leo ratiba inawekwa kimagendo
 
Sasa kama Makamu wa Rais wa TFF ile ile ya miaka minne iliyopita ndio Rais kwa sasa, unategemea tofauti ipi?
 
Kwa nini michezo ya Simba SC vs Azam FC na Yanga SC vs Njombe Mji isichezeshwe siku moja? Wakati kila timu zinacheza mkoa tofauti na viwanja tofauti?

TFF wanapanga matokeo mapema, hata raundi ya pili bado

Simba SC vs Azam FC - 9th
Yanga SC vs Njombe Mji - 10th
Hoja yako ni nini?kucheza muda tofauti kuna mahusiano gani na kupanga matokeo?
 
Back
Top Bottom