Hoja yako ni nini?kucheza muda tofauti kuna mahusiano gani na kupanga matokeo?Kwa nini michezo ya Simba SC vs Azam FC na Yanga SC vs Njombe Mji isichezeshwe siku moja? Wakati kila timu zinacheza mkoa tofauti na viwanja tofauti?
TFF wanapanga matokeo mapema, hata raundi ya pili bado
Simba SC vs Azam FC - 9th
Yanga SC vs Njombe Mji - 10th