Kwa kipindi cha karibuni, nimeshuhudia marefa wa kike waliochezesha mechi za ligi kuu wakizongwazongwa na wachezaji kwamba hawakubaliani na maamuzi yao. Hii imekaaje? Kwamba waamuzi wa kike hawatendi haki au ni uanamme ndio tatizo.
Mwamuzi ameshatoa adhabu lakini wachezaji wanamzonga hadi inashangaza.
TFF, bodi ya ligi na chama cha waamuzi mnachukua hatua gani?