Waamuzi wenyewe wanaipa timu mbovu kombe la ligii kuu,timu ambayo inachukua miaka 28 kufika hatua ya makundi club bingwa unategea nini?kuna waamuzi hapo?kipimo cha timu kubwa na bora ni timu inayofanya vizuri kimataifa kwasababu inachezeshwa na waamuzi wenye uweledi na ubora wa hali ya juu na wasiokuwa na njaa ya kuhongwa vibahasha vya mandazi,na pia inakutana na kucheza na timu bora na kubwa barani Afrika...na timu hiyo ni Simba sc