kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Miili mikubwa ni kigezo muhimu Kwa mchezaji wa mpira. Hata mawakala wanatafuta wachezaji wenye vipaji, akili na miili mikubwa.
Mchezaji mwenye mwili mdogo ni rahisi Sana kukabwa, kuumizwa na kufanyiwa faulu nyingi.
Golikipa mwenye mwili mdogo anawatia hamu mafowadi kumshambulia hata Kwa mbali.
Wachezaji wenye miili midogo hawauziki sokoni