Mikubwa kama ya MESI, Tff wameuchukua ushauri wako...Miili mikubwa ni kigezo muhimu Kwa mchezaji wa mpira. Hata mawakala wanatafuta wachezaji wenye vipaji, akili na miili mikubwa.
Mchezaji mwenye mwili mdogo ni rahisi Sana kukabwa, kuumizwa na kufanyiwa faulu nyingi.
Golikipa mwenye mwili mdogo anawatia hamu mafowadi kumshambulia hata Kwa mbali.
Wachezaji wenye miili midogo hawauziki sokoni
Mkuuu uko sahihi kwa asilimia 100, wanaobisha acha waendelee kutoka povu. Hivyo ndivyo vigezo vya soka la Ushindani hutaki utaendelea kucheza chandimu tuuu.Miili mikubwa ni kigezo muhimu Kwa mchezaji wa mpira. Hata mawakala wanatafuta wachezaji wenye vipaji, akili na miili mikubwa.
Mchezaji mwenye mwili mdogo ni rahisi Sana kukabwa, kuumizwa na kufanyiwa faulu nyingi.
Golikipa mwenye mwili mdogo anawatia hamu mafowadi kumshambulia hata Kwa mbali.
Wachezaji wenye miili midogo hawauziki sokoni
Fursa kwa Mwaikimba kurudi stars!Fact afcon tukiwapata john bocco watatu pale mbele lazima tuende robo fainali
BORA NIMCHUKUE MMAKONDE SHAABAN IDDI CHILUNDA.. KULIKO HILO DUDU..Fact afcon tukiwapata john bocco watatu pale mbele lazima tuende robo fainali
Kaka ukiwa na vimo kama vya hawa unaowasema lazima uwe na vitu vya ziada sana vya kuzaliwa navyo sio vya kufundishwa na mtu ili ufanye vizuri kwenye soko la mpira wa miguu. Watu kama hao sio wengi dunianiMwili hauchezi mpira mkuu km kipaji hakuna, mwili unajengwa tu.
Ama unazungumzia kimo kama kimo si tatizo, xavi,zola,kante,, casillas, Pickford n.k n.k.
Kwani Peter Crouch (Super Tall ) ana kipi cha kumshinda mchezaji mfupi Mbwana Samata ??Kaka ukiwa na vimo kama vya hawa unaowasema lazima uwe na vitu vya ziada sana vya kuzaliwa navyo sio vya kufundishwa na mtu ili ufanye vizuri kwenye soko la mpira wa miguu. Watu kama hao sio wengi duniani
Vivyo ni vipaji maalum ambavyo ni zaidi ya academy. Mimi naongea watu wanaofaa kuchuguliwa kufunzwa mpira. Unapomtaja Mess kwenye hili ni Sawa na kumfananisha Michael Jackson na Peter Msechu, au Bob Marley na Nganyagwa1. Lionel Messi
2. Juan Mata
3. Alex Sanchez
4. Ngolo kante
5. Robert Firmino
6. Felipe Anderson
7. Benard Silva
8. Luca Modric
9. Paul Dybala
Wote hawa ni wachezaji wenye maumbo madogo ila shughuli yao unaijua
Hueleweki unataka nini ,Vivyo ni vipaji maalum ambavyo ni zaidi ya academy. Mimi naongea watu wanaofaa kuchuguliwa kufunzwa mpira. Unapomtaja Mess kwenye hili ni Sawa na kumfananisha Michael Jackson na Peter Msechu, au Bob Marley na Nganyagwa
Wewe ndo huelewi, ni kazi ndogo Tu tff waulizeni mawakala wa wachezaji kuwa ni aina gani ya wachezaji wenye sifa zipi wanahitajika kwenye soko la ulaya, watakuambieni. Ndiyo maana Maximo alimkataa Kaseja akamkumbatia Ivo Mapunda ingawa Sisi tulikuwa tunamuona anaweza sana. Wachezaji wetu wenye maumbo madogo ni hodari wa kukaba Kwa kusababisha faulu za kila maraHueleweki unataka nini ,