Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Apr 29, 2023 #1 Uamuzi wa Kenya, Uganda na Tanzania kushirikiana kutaka kuandaa mahsindano ya AFCON kwa pamoja ni uamuzi mzuri sana ambao utasaidia kuendelea kuzitangaza nchi zetu siyo kimpira tu bali hata kiutalii. Tuwapongeze sana kwa ujasili huo.
Uamuzi wa Kenya, Uganda na Tanzania kushirikiana kutaka kuandaa mahsindano ya AFCON kwa pamoja ni uamuzi mzuri sana ambao utasaidia kuendelea kuzitangaza nchi zetu siyo kimpira tu bali hata kiutalii. Tuwapongeze sana kwa ujasili huo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 1, 2023 #2 Ahsante kwa taarifa...