TFF funikeni Kombe mwanaharamu apite la sivyo mtaumbuka tena

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
TFF Hamuiwezi Simba wala Yanga nchi hii,
Hapa yenyewe mnasubiri viingilio hivi mpige pesa!
Bila simba na Yanga nchi hii mtakufa njaa nyie..
Oneni mpaka viingilio mnapanga ninyi..
Yanga waligomea Twiga mwekundu,

Mwaka huu huu game iliahirishwa na mpaka leo Sio simba wala Yanga aliyewajibishwa zaidi "aibu" na lawama mlipata nyie..

Kama Simba Wamewagomea GSM-Yanga ,
Kukaa uwanjani kupitia mabango basi kubalini yaishe..

Toeni mabango game ipite kisha mrudi mezani Kwasasa Soka la Tanzania linatangazwa na simba huko nje ya Nchi...

Hivyo heshima yao wapewe...
 
Njia pekee ya Simba kumkimbia GSM ni kucheza uchi.
 
Mwanangu SAGAI GALGANO nimekua nikikufuatilia kwa muda mwingi sana.

Una too personal attack kuliko collectively attack,Yaani wewe kumkejeli na kumtukana mtu kwako ni kitu cha kawaida,ubaya hauna lugha ya stara.

Scars ,NAWATAFUNA ,This is... Na wengineo hawa wote ni mashabiki wenzio wa Simba Lakini linapokuja suala la kwenye kujenga hoja at least wanakua na kauli za stara na ustaarabu.

OKW BOBAN SUNZU mwenyewe ambaye simba ni kama timu ya baba yake anakuaga na stara when it comes kwenye kujenga hoja.

Huu ni mpira tu mwanangu,wengi wetu ni kama enjoyment tu,ukiona kama hupendezwi na maoni ya mtu ni vema kupiga chini.
 
Umeongea pumba ?. Japo watakuja mikia wenzio hapa kukusapot. Mawazo yako mikia ndio wanaoitangaza ligi ya bongo?. Kwamba mikia chochote wanachotaka wakubaliwe tu?. Unaumwa wewe. Nani asieujua mpira wa bongo?.
 
TUPELEKE MAOMBI RWANDA TEAM IHAMIE HUKO..HE MIBABA MIZIMA INAINGIA MIKATABA YA AJABUJABU YA SIRI SIRINI HUKO NYOOOKOOOOOO KWENDENI BAKINI NA GSM YENU TENA MKITAKA WEKENI KABISA NA HOME SHOPPING CENTRE.
 
Mwanangu SAGAI GALGANO nimekua nikikufuatilia kwa muda mwingi sana.

Una too personal attack kuliko collectively attack,Yaani wewe kumkejeli na kumtukana mtu kwako ni kitu cha kawaida,ubaya hauna lugha ya stara.

Scars ,NAWATAFUNA ,This is... Na wengineo hawa wote ni mashabiki wenzio wa Simba Lakini linapokuja suala la kwenye kujenga hoja at least wanakua na kauli za stara na ustaarabu.

OKW BOBAN SUNZU mwenyewe ambaye simba ni kama timu ya baba yake anakuaga na stara when it comes kwenye kujenga hoja.

Huu ni mpira tu mwanangu,wengi wetu ni kama enjoyment tu,ukiona kama hupendezwi na maoni ya mtu ni vema kupiga chini.
True say bruh! jamaa ana lugha za kuudhi sana, matusi kejeri inakua sio ushabiki ni chuki
 
Back
Top Bottom