TFF funikeni Kombe mwanaharamu apite la sivyo mtaumbuka tena

Mbona wao waligomea twiga mwekundu na walisikizwa. Iweje kwa simba??
 
Simba ni Simba tu anatangaza nchi na ana mashabiki wengi sana huwezi kushindana nae utaumia tu..
Asante TFF sasa baada ya game mrudi mezani mtoe tofauti Kati ya Yanga na GSM..
Na mseme Simba akivaa Gsm atapata nini...
Maana inaonekana Yanga pekee hawezi kumtangaza GSM
 
Ungeangalia hao ninaoshuka nao hivyo nao lugha wanzotumia. Mtu akija kihuni na mimi namshukia kihuni akileta hoja tunajadili hoja. Iko hivyo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Reactions: 7ve
Lakini mabango yameondolewa,sasa tusubiri mtanange kesho kiroho safi kabisa [emoji3][emoji3]
Mtani wala sitaki kesho niwakose na ndio maana busara imetumika na mlikuwa mmeanza kutafuta sababu za kukimbia hii mechi
 
Mtani wala sitaki kesho niwakose na ndio maana busara imetumika na mlikuwa mmeanza kutafuta sababu za kukimbia hii mechi

Hakuna busara iliyotumika,bali ni taratibu ndiyo zimeagizwa zifuatwe na CAF,au hujaisoma barua ya CAF kwa Board ya Ligi?
 
Hakuna busara iliyotumika,bali ni taratibu ndiyo zimeagizwa zifuatwe na CAF,au hujaisoma barua ya CAF kwa Board ya Ligi?
Yaani kwa vyovyote vile ila hatutaki mkimbie hii mechi kwa sababu yoyote ile Coz tunawahitaji kwa nguvu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…