TFF haikuitendea haki mechi ya timu yetu dhidi ya Kenya jana.

TFF haikuitendea haki mechi ya timu yetu dhidi ya Kenya jana.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Kwa kweli inahuzunisha kwa kitendo TFF walichokifanya kwa timu yetu ya miguu ya taifa dhidi ya Kenya jana tarehe 4/8.
Mechi hiyo ilikuwa inajulikana kabisa itachezwa lini lakini cha ajabu TFF wakaipa kibali timu ya Yanga kufanya hitimisho lake siku na wakati huohuo timu yetu ya taifa ikicheza. Matokeo yake hata Azam TV nayo ikatudanganya kutuonesha kupitia ZBC 2.
Pana kipindi klabu ya Simba ilitaka kucheza mechi ya kirafiki na timu toka Kenya kwa siku na saa hiyohiyo baada ya wachezaji wake maarufu kuachwa timu ya taifa, tukalalamikia jambo hilo na bahati njema haikuwepo.
 
Back
Top Bottom