wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Hoja ni ipi hasa? kama FIFA na pesa zake zote inapewa msamaha wa kadi kwenye kombe la dunia sembuse TFF! Jenga hoja acha ku-personalise issues.
Hivyo viwanja vitatumiwa na umma, timu ndogo na kubwa, shule na vyuo...kwenye suala la maendeleo tusilete chuki binafsi.
Jifunze kujielezea sio kuchanganya mambo binafsi. Tuambie ni kwa nini TFF hawastahili kupewa msamaha wa kodi.wewe muhusika no 2 kagame mnaifurahikia kwa viposhoposho ligi imeshaisha