wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Wamekosa mapatoinashangaza aliokuwa mwandishi wa habari leo msemaji wa tifutifu a.k.a kupe eti anaelezea uharibifu wa fensi ya uwanja wa taifa kama wa tifutifu wao wasubiri wenye uwanja watoe gharama za uharibifu ndio kupe watangaze siku ya mechi alilalamika eti uwanja umejaa kupita idadi eti yanga wamefanya kosa nini kinawasibu kupe?
Mpira ni wa TFF lakini uwanja ni wa serikali kwahiyo serikali ndiyo wanapaswa kuidai matengenezo au malipo.Yanga walipe sio kulea ujanja ujanja kama mlitaka watu waingie bure si mgewapeleka kule Kaunda kwenye mafuriko.
Halipwi tff analipwa mmiliki wa uwanjaYanga lazima walipe mbona simba ililipa gharama za viti?
yanga watalipaje kwani uwanja hauna bima?Yanga walipe sio kulea ujanja ujanja kama mlitaka watu waingie bure si mgewapeleka kule Kaunda kwenye mafuriko.