TFF hii ratiba yenu mbona kama inapendelea timu kubwa.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
nimeona Azam walikuja Mbeya wakacheza na Mbeya city na prisons. Yanga wanaenda Shinyanga na kucheza mechi mbili mfululizo. mbona ratiba kama hii siioni kwa timu ndogo? sijawahi ona prions inaenda dar na kupiga mechi mfululzo.
 
Halafu majimaji inapelekwa jumamosi hii huku mara jumamosi ijayo hukooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom