TFF iache kupoteza lengo la kushindwa na Morocco

TFF iache kupoteza lengo la kushindwa na Morocco

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
TFF ni wajanja sana badala ya kushughulikia mambo mazito yakulidhalilisha taifa tena nyumbani kwa kufungwa na timu dhaifu ya Morocco wao wanaona suala la wimbo wa taifa ndiyo kivuno cha kutufanya tusahau jinsi wasivyo wabunifu na kutufanya tufungwe bao moja nunge.

Hivi kati ya kufungwa na sakata la wimbo wa taifa lipi ndilo zito?

Wimbo wa taifa is just a "wardrobe malfunction" ukilinganisha na timu kutocheza kitimu, kwa kujiamini haswa inapokuwa nyumbani na kuwalazimisha wageni kuzuia lango lao zaidi badala ya kushambulia.

Ni lini TFF watatuomba msamaha kwa utukutu wao huu?
 
Back
Top Bottom