OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hizi sarakasi za wachezaji wazawa na mikataba hazitaisha.
TFF waanzishe semina kwa wachezaji wote wa ndani na wa nje wanaocheza hapa nchini kabla ya kuwapa leseni wapewe semina ya mikataba.
Kila msimu hii semina itolewe hata kwa siku mbili.
Maana wachezaji wengi hawana elimu ya darasani ni rahisi kurubuniwa au kufanya maamuzi mabaya yanayoaibisha soka letu
Mfano:
Feitoto
Kibu
Lawi
Kakolanya
Awesu
Hawa wote walileta ujinga mwingi ni aibu kwa soka letu
Nawasilisha.