Angalia tu chaguzi zao sio wazi.Hoja ya msingi sana, inaonekana kuna baadhi ya viongozi wa TFF na bodi ya ligi wako kwenye payroll ya GSM, kitendo walichomfanyia Barbara leo kumzuia kuingia uwanjani naona ni hasira zao kuharibiwa dili lao na GSM, ndio maana hawakutaka ule mkataba ujadiliwe, ni wahuni.
Huyo Kasongo ndio waanze nae, juzi nimemsikia akijitetea kwanini hawakutaka ule mkataba wao na GSM ujadiliwe na vilabu, anadai walikuwa na haraka hawakupata muda wa kuvishirikisha vilabu, nikajiuliza hiyo haraka ya nini? jamaa ni wajanja janja wako rahisi sana kuwa corrupted na GSM.Angalia tu chaguzi zao sio wazi.
Na Yule kasongo aliingiaje pale bodi ya ligi kwa sifa zipi?
Okay tumepata pa kuanzia. Yaani hawakupata muda wa kushirikisha vilabu. Je kulikuwa na uharaka gani?Huyo Kasongo ndio waanze nae, juzi nimemsikia akijitetea kwanini hawakutaka ule mkataba wao na GSM ujadiliwe na vilabu, anadai walikuwa na haraka hawakupata muda wa kuvishirikisha vilabu, nikajiuliza hiyo haraka ya nini? jamaa ni wajanja janja wako rahisi sana kuwa corrupted na GSM.
Na aliye mfunga malinzi na sisi tuka mlestisha in piece…..,,,Hata malinzi tulinfunga baada ya kuwabeba utopwinyo
Misimu yote minne iliyopita hamkuyaona hayo?Hili suala la mikataba mibovu mda mrefu imekuwa ikisababisha umasikini, mauwaji na hasara mbalimbali kwa jamii hapa Tanzania . Huko serikalini ni kugumu kidogo lkn kwa Hawa TFF na bodi ya league Kuna umuhimu mkubwa wa kuwachunguza. Wanahujumu team.
Imagine unataka biashara itangazwe kwa milioni tatu tu ndani na nje ya nchi kwa team Kama Simba sc?
Tusingekuwa na Yule dada imara pale Simba Mambo yangekuwa sio kabisa.
League yetu wanataka iwe utopolo tu.
Wachunguzwe na wawajibishwe. Hatutakibali upuuzi huu.
Umebeba kadi imeandikwa watoto hawaruhusiwi unafosi uingie na watoto majina yalioandikwa kwenye kadi sio ya watoto ulioambatana nao unataka TAKUKURU waichunguze TFF badala ya kuomba kumchunguza huyo CEO wa Simba alivyotaka kutumia madaraka yake vibaya kuingia uwanjani na watoto ambao hawaruhusiwi kuingia VVIP. Omba TAKUKURU wamchunguze Babra kama alitumia madaraka yake vibaya ya uceo wa Simba kulazimisha kuingia na watoto ili Sheria ifuate mkondo wake.Hoja ya msingi sana, inaonekana kuna baadhi ya viongozi wa TFF na bodi ya ligi wako kwenye payroll ya GSM, kitendo walichomfanyia Barbara leo kumzuia kuingia uwanjani naona ni hasira zao kuharibiwa dili lao na GSM, ndio maana hawakutaka ule mkataba ujadiliwe, ni wahuni.
ukimwangalia kakaa kama teja hiviAngalia tu chaguzi zao sio wazi.
Na Yule kasongo aliingiaje pale bodi ya ligi kwa sifa zipi?