kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Gamondi na Robertihno ni makocha wa kiwango kikubwa sana kuwepo kwenye ligi ya Tanzania. TFF lazima ione namna nzuri ya kuzipongeza Yanga na Simba kwa kuthubutu kuleta makocha ya viwango hivi, pia TFF na wadau wengine wa mpira waone ni kwa namna ipi wanaweza kuwatumia hawa makocha kwa manufaa ya timu zetu za taifa.
TFF inaweza kuwaalika kwenye kahawa jioni moja kila itakapohitajika ili kupata maoni yao juu ya timu zetu za taifa na mpira wetu kwa ujumla.
Nadhani huu ni muda kwa TFF kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye ligi ili timu zetu ziwe na wazawa wengi wanaofundishwa na makocha nguli kama hawa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=caLs_AnKWow