NGOLO Jr
Member
- Sep 14, 2018
- 12
- 7
Naingalia taifa stars kwa jicho la tatu kuelekea afcon misri,
Niukweli usiofichika baadhi ya ligi barani ulaya zimeshatamatika na zingine zipo hatua ya mwisho lakini bado najiuliza TFF nimaandalizi yapi wameanza nayo kuhakikisha wanaandaa mfumo wa ushindani kwa vijana wetu au maandalizi yanaanza wiki moja kabla.
Kulitizama hili pia najaribu kumsoma mtu mmoja nimaarufu kwa kila kitu,THE DELA BOSS HAJI MANARA kwanza anajua nini maana ya kuwa msemaji wa timu nimhamasishaji wa kila jambo nafikiri TFF ingemkabizi timu kuwa msemaji mhamasishaji wa timu ya taifa kwa mda nahisi tungfika mbali kama SIMBA…..,