Alichosema Jamal Bakhressa kinasemwa na wengi, na huo ndio ukweli wenyewe. Ukweli huo ndio uliosababisha hata TFF kukubali kuleta waamunzi kutoka nje kuchezesha mechi za ligi, kufungia waamuzi na kuleta Football Video Support (FVS) msimu huu.
Ni kweli waamuzi ni mali ya TFF na bodi ya ligi ni mali ya TFF na ndio wanaowaleta n kuwapangia kazi.