TFF imemfungia Nyoso kwa miaka miwili kucheza mpira wa miguu

Wanasheria wetu,haiwezekeni kumfunga jela huyu mwehu?
 
Hivi hiyo makala uliyoiandika inatoka na hiyo sentensi moja tu niliyokomenti ?...Nahisi umekosea ku-quote
 
Mara ya tatu hiyo. Alianza na Amir Maftah,Maguli then Bocco

Inaonesha kazoweya, maana hao ndiyo wanajulikana kudhalilishwa na huyu mjinga, wasiyojulikana ni wangapi? Ni mshenzi sana huyu mtu afungiwe maisha tu. Ni hatari sana kwa jamii, tena afungwe jela kabisa.

Tazama sura yake mbaya kama tabia yake:
 
Inaonesha kazoweya, maana hao ndiyo wanajulikana kudhadhalishwa na huyu mjinga, wasiyojulikana ni wangapi? Ni mshenzi sana huyu mtu afungiwe maisha tu. Ni hatari sana kwa jamii, tena afungwe jela kabisa.

Tazama sura yake mbaya kama tabia yake:

Dada Huoni Sura Ya " Hapa Kazi Tu " Hiyo?
 
Binafsi sipendi na sijapendezwa na tabia hizi za Said Juma 'Nyosso'...

Ila kiukweli TFF wamekurupuka kumfungia Nyosso kwa kutegemea ushahidi wa picha iliyotumwa mtandaoni...

Malinzi naye alikurupuka kutweet kumchukulia Nyosso hatua kali kwa kutegemea ushahidi wa picha(ambayo ka teknolojia ya sasa inaweza kuwa photoshop)...Heri ungekuwa ushahidi wa Video..

Bahati mbaya hata Camera za Video hazikuonesha tukio hilo..

Pia mchezaji hakupewa hata haki ya kujieleza...
 
Anasema hii picha ni fotoshop. Yeye hakumbuki kama alifanya hivi. Ni fitina za watu- Star Tv michezo leo
 

Attachments

  • 1443636797395.jpg
    29.1 KB · Views: 5,790

Hawajachukuwa hatua kwa ushahidi wa picha za mtandaoni.

Azam wamepeleka malalamiko yao TFF na hii jinsi nilivyosoma habari zake huyu mjinga si mara ya kwanza kufanya huo upumbavu.
 
Km kweli kafungiwa miaka miwili ni kuwadharau watz. Mtu kuwekewa kidole tena wkt kavaa nguo na mhusika hajapata madhara yoyote alafu anafungiwa miaka 2?
Yaani watz wamefikia hatua wanamchukia mtu km huyo badala ya kuwachukia mafisadi wanaojulikana ila wapo mitaani wanakula mema ya nchi.
Alaaaaaa.......hii nchi inamambo mazito ya kuchukia sio hayo ya akina nyoso.
Kidole kitu gani bana, mbona ccm wanatupiga madole watz kila siku
 
Hawajachukuwa hatua kwa ushahidi wa picha za mtandaoni.

Azam wamepeleka malalamiko yao TFF na hii jinsi nilivyosoma habari zake huyu mjinga si mara ya kwanza kufanya huo upumbavu.

Azam wamepeleka malalamiko baada ya picha kuanza kusambaa mtandaoni...

Walipaswa kupeleka malalamiko yao kwa Kamisaa wa match...Hawakufanya hivyo...

Adhabu ya miaka miwili ni kubwa mno...

Gonzalo Jara wa Chile alimfanyia kitendo kama hiki Edinson Cavani wa Uruguay...Adhabu aliyopewa Jara ni kufungiwa mechi nne na faini ya Dola 7,500 za Kimarekani...

FYI....Hii ya Nyosso ni adhabu kubwa kuwahi kutolewa Duniani kwa mchezaji wa Football....Nyosso ndio anashika rekodi ya Dunia sasa hivi akifuatiwa na Diego Maradona aliyefungiwa miezi 15...
 
TFF hawajatenda haki kwa Juma Nyosso kabisa.

Alitakiwa afungiwe maisha kucheza mpira wa miguu na kujishughulisha na mchezo wa soka.
 

Link BBC Sport - Tanzania's Juma Said banned for 'act of indecency'
 

usilete habari za 'badala ya' hapa!..utakuwa shoga tu wewe,si bure!
 
Amevuna alichopanda

tatizo la watz huwa tunabase kwenye kukomoana ila ukweli ni kwamba wajue mchezaji akiwa uwanjani hubadilika je unafikiri maisha yake atayaendesha vipi si atakua panya road sasa

NAJUTA KUZALIWA TZ
 
tatizo la watz huwa tunabase kwenye kukomoana ila ukweli ni kwamba wajue mchezaji akiwa uwanjani hubadilika je unafikiri maisha yake atayaendesha vipi si atakua panya road sasa

NAJUTA KUZALIWA TZ
ulimtuma? "akiwa uwanjani hubadilika(kwa kubana pua)"..unajua ni mara ya ngapi hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…