Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Haji Manara, semaji la Yanga lilifungiwa kujihusisha na masuala ya soka na likapigwa faini kwa utovu wa adabu.
Hata hivyo, licha ya kufungiwa, Manara aliendelea kujihusisha na mchezo wa soka kama kawaida huku akiendelea kuwatukana viongozi wa TFF.
Aliendelea kufanya yote aliyoweza kufanya bila kujali kuwa ameadhibiwa na Shirikisho la soka nchini TFF.
Aliendelea kutoa matamshi ya hovyo dhidi ya viongozi wa TFF, waamuzi na viongozi wengine wa vilabu, ushahidi upo katika page yake mwenyewe ya Instagram.
Leo tunaambiwa amemaliza kifungo chake, kifungo gani hicho amemaliza wakati aliendelea kujihusisha na mchezo huo.
Sisi tunajua, suala hilo limeingiliwa na wanasiasa, vikao vingi vimefanyika vya kumuombea mtu huyo asiyekuwa na adabu hata kidogo.
Karia amefuatwa sana na 'GMS' kuombwa amsamehe mhuni huyo ambaye kwao ni Kigoma lakini analazimisha kujiita mzaramo, umeona wapi mtu anakimbilia kabila la mama kama sio ulofa.Vikao vingi vimefanyika vya kumsihi amsamehe mwisho ameona amsamehe lakini wamwambie ashike adabu yake.
Manara mwenyewe hajaomba radhi, ameombewa radhi na watu kwa maana hiyo TFF ndio wanaomuogopa msanii huyo ambaye aliwahi kuwa na kashfa ya wizi katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu.
Kama kweli Haji amelipa faini ya shs.milioni 20 TFF wekeni stakabadhi yake tuone kama kweli amefanya hivyo la sivyo mnatupiga changa la macho dhidi ya Haji Manara ambaye mwanachama wa Yanga Bw.Magoma Shaaban amesikika juzi akisema alikuwa mlevi kupindukia na alikuwa akijibinua binua tu, sijui kama kuko salama.
Huyo mnayemfungulia kwa kumuogopa wala hana muda mrefu kwa sababu tayari kashamchafua Ali Kamwe kwenye Press yake ya leo, Time will tell