Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Hahahaa, labda watampa kidogo mkuu.Dah kapigwa mwingine milioni moja wanapata TFF
Huyo shabiki naye ndio mchokozi , jutoka jukwaani na kwenda kumtukana nyossoHuyu jamaa huwa hajielewi
Hahahaa, labda watampa kidogo mkuu.
Ila hii point nzuri sana japo fidia kidogo.
Aah ww shakujua utakuwa tu fulani una jina linaanza na We.....Huyu kaka namjua mtata tangu anakua tulikaa wote songea street Ilala na yule Said Morad watoto walikua wanamuogopa hana masihara.
Hahah,hapana mkuu mi mbona ke.Aah ww shakujua utakuwa tu fulani una jina linaanza na We.....
Kumbe umepiga ndindo ilala....
Ahhhh aha.....
View attachment 695086
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) kupitia Kamati yake ya Nidhamu imemshushia adhabu kali mchezaji wa Kagera Sugar, Juma Nyoso kwa kosa la kumpiga shabiki baada ya mechi kati ya timu yake na Simba SC.
Kamati hiyo ya TFF iliyokutana Jumamosi iliyopita Februari 10, 2018 imemfungia Nyoso mechi tano na kumpiga faini ya shilingi 1,000,000 (Milioni moja) baada ya kikao hicho kujiridhisha kuwa mchezaji huyo alimpiga shabiki huyo.
Nyoso alimpiga shabiki baada ya mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara kati ya timu yake ya Kagera Sugar dhidi ya Klabu ya Simba kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera.